HabariMilele FmSwahili

EACC imefaulu kuokoa shilingi bilioni 4.2 ambazo zingepotea kupitia ufisadi nchini

Tume ya kakabiliana na ufisadi nchini imefaulu kuokoa shilingi bilioni 4.2 ambazo zingepotea kupitia sakata za ufisadi nchini. Mwenyekiti Dakta Eliud Wabukhala amesema fedha hizi zingeporwa kupitia afisi mbalimbali za serikali na uchunguzi wao umefanikisha kuziba njama hiyo.Wabukhala anasema maafisa kadhaa wa serikali pia wanakabiliwa na kesi za ufisadi mahakamani akielezea matuamini yake kufaulu katika vita vya ufisadi.Amesema kufikia sasa kesi zaidi 130 ziko mahakamani kuhusiana na madai ya ufisadi, shilingi 352 zikitwaliwa kutoka kwa wafisadi.

Show More

Related Articles