HabariMilele FmSwahili

Mwanamme wa miaka 25 afariki Busia baada ya kufunikwa na mchanga

Huko Busia, jamaa wa miaka 25 amefariki baada ya kufunikwa na mchanga katika timbo moja kijiji cha Esikokhe eneo bunge la Budalangi.Victor Omwaka, alikuwa ndani ya timbo akichimba mchanga kabla ya kuangukiwa na vifusi vya mchanga na kumfunika kabisa.Juhudi za kumuokoa ziliambulia patupu.

Show More

Related Articles