HabariSwahili

Takriban nyumba 40 jijini Nairobi huenda zitabomolewa 

Huku wakenya wakizidi kuhofia shughuli ya ubomoaji wa majengo ambao umekuwa ukiendelea kwa muda sasa,takriban nyumba arobaini  zinazosemekana kukiuka kanuni za ujenzi  mjini Nairobi zitabomolewa.
Duru kutoka halmshauri ya  usimamizi wa raslimali ya maji zinasema kuwa  hilo litafanyika  muda mfupi ujao , huku   duru vilevile zikiarifu kuwa kamati maalum inayoshughulikia ubomoaji  huo, itapima  umbali kati ya bwawa la Nairobi na jumba la Seefar mnamo siku ya Alhamisi , ili kutambua iwapo linafaa kubomolewa au la.

Show More

Related Articles