HabariSwahili

Mgaagaa na upwa : Mama Josephine abobea Eldoret kwa kazi ya kuchoma mahindi 

Kutana na mama Josephine ambaye ni mama wa watoto watano. na japo kuwa na kibarua hicho kazi yake ni kuchoma mahindi katika mji wa Eldoret.
Ni kazi ambayo ameifanya kwa zaidi ya miaka 6 sasa na kuwalea watoto wake, huku kifungua mimba akiwa darasa la nane.
Kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa, Joab Mwaura, anamwangazia mama Josephine kwa sababu ya bidii yake.

Show More

Related Articles