HabariSwahili

Wenyeji Kawangware wawashtumu kwa mauaji ya vijana kiholela 

Wenyeji Kawangware wawashtumu kwa mauaji ya vijana kiholela 
Polisi mtaani  wanatuhumiwa kuwauwa vijana mtaani Kawangware wasio na hatia kisha kuwatupa kwenye mtaro wakiwahusisha na uhuni bila kuwafungulia mashtaka.
Kisa cha hivi punde ni cha kijana mmoja aliyenaswa akiwa katika maeneo ya burudani na kilichofuatia ni mwili wake kupatikana katika hifadhi ya maiti ya City.
Polisi wamesema wanachunguza visa hivyo.

Show More

Related Articles