HabariMilele FmSwahili

Ochillo Ayacko aapishwa rasmi kuhudumu kama seneta wa Migori

Ochillo Ayacko ameapishwa rasmi kuhudumu kama seneta wa Migori.Ayacko aliibuka mshindi kwenye kinyanganyiro cha useneta kaunti ya Migori baada ya kumpiku mpinzani wake Eddy Aketch.Sasa ni rasmi Ayacko ameanza kuwakilisha wenyeji wa  kaunti ya migori  baada ya kiti hicho kuachwa wazi kufuatia kifo cha seneta Ben Oluoch.

Show More

Related Articles