HabariPilipili FmPilipili FM News

Mzozo Wa Mpaka Baina Ya Jamii Ya Wachonyi Na Wakauma Kutatuliwa Asema Chonga.

Mzozo wa mpaka wa ardhi baina ya jamii ya Wachonyi na Wakauma Kaunti ya Kilifi ambao umedumu kwa miaka mingi utaweza kutatuliwa pale wadau wote  husika wataingilia kati.

Hayo ni kwa mujibu wa Mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chonga ambaye anaeeleza kuiskitishwa na jinsi jambo hilo limechangia kuwepo kwa maafa huku jamii hizo mbili zikiendelea kuzozana.

Show More

Related Articles