HabariMilele FmSwahili

Mtoto wa miaka 8 apatikana amejitia kitanzi Embakasi

Polisi eneo la Embakasi hapa Nairobi wanachunguza kisa ambapo mtoto wa miaka 8 amepatikana amejiuwa kwa kujitia kitanzi nyumbani wao mapema leo.Hata hivyo haijabainika mara moja sababu za mtoto huyo kujitoa uhai.

Show More

Related Articles