HabariMilele FmSwahili

Kundi la kina mama waandamana Nairobi wakimtaka Sonko kumchagua mama kuwa naibu wake

Kundi la kina mama wameandamana hapa jijini Nairobi kumshinikia gavana Mike Sonko kumchagua mama kuwa naibu wake. Kina mama hao wanasema kuwa  huduma muhimu zimeendelea kukwama jijini kutokana na kutoweka naibu gavana atakayeshirikiana na Sonko kuwahudumia wenyeji. Kina mama hao wamewasilisha rasmi malalamishi yao katika  afisi ya rais, afisi ya naibu rais na ya gavana  Sonko.

Show More

Related Articles