HabariMilele FmSwahili

Ibada ya wafu ya miili 30 ya waathiriwa ajali ya Fort Ternan kufanyika jumatatu wiki lijalo

Ibada ya wafu ya miili 30 ya waathiriwa  ajali ya Fort Ternan itaandaliwa siku ya jumatano wiki lijalo.Mmoja wa afisa kwenye kamati iliyobuniwa na gavana Wycliff Oparanya anasema serikali ya kaunti ya Kakamega imehaidi kugharamia shughuli ya mazishi ya wahanga kutoka kaunti hiyo.Zaidi ya watu 50 walingamia katika ajali hiyo iliyohusisha basi la kampuni ya  Homeboys.Tayari mmiliki wa basi hilo Bernard Shitiabai ameshtakiwa pamoja na mwanachama wa kampuni ya Western Cross inayomiliki basi hilo Cleophas Shimanyula katika mahakama ya Molo.

Show More

Related Articles