HabariMilele FmSwahili

Mwanamme 1 ateketea moto katika eneo la Kipkopey Nakuru

Mwanamme mmoja  ameteketea moto katika eneo la kuuza nyama la Kikopey huko Nakuru katika hali isiyoeleweka.Walioshuhudia wanasema mwanamme huyo alitofautiana na nduguye kabla ya kukabiliwa na majirani na kisha kutoweka .Yadaiwa aliteketea kwenye nyumba aliyojaribu kuiteketeza.Yaarifiwa kuwa huenda  ilikuwa ni jaribio la kujitoa uhai.

Show More

Related Articles