K24 TvNEWSSwahiliVideos

UCHAGUZI AGOSTI AU DISEMBA?: Wabunge kupiga kura kuhusu mswada wa marekebisho Jumatano

Rais Uhuru Kenyatta sasa ndiye atakuwa na usemi wa mwisho kuhusiana na iwapo taifa litaelekea kwenye kura ya maamuzi au la pale bunge litakapopiga kura Jumatano ijayo kuhusu kubadilishwa kwa tarehe ya uchaguzi.

Wabunge aidha wanatarajiwa kupiga kura kwa mswada wa marekebisho uliowasilishwa na mbunge Chris Wamalwa unaolenga tarehe hiyo kubadilishwa kutoka Agosti hadi Jumatatu ya tatu mwezi Disemba kila mwaka wa tano baada ya uchaguzi.

Show More

Related Articles