K24 TvNEWSSwahiliVideos

SHAMRA SHAMRA ZA MASHABIKI: Mbwembwe zashuhudiwa jijini mashabiki wakieleka Kasarani

Kando na ushindi wa Harambee Stars, ni kwamba maelfu ya Wakenya kutoka matabaka mbali mbali walijitokeza kuwashangilia vijana wa nyumbani ugani Kasarani huku uwanja huo ukijaa pomoni.

Maafisa wa polisi walilazimika kutumia vitoa machozi kuwatawanya mashabiki waliotaka kutumia nguvu kuingia uwanjani baada ya uwanja huo kufurika.

Show More

Related Articles