HabariK24 TvSwahiliVideos

Aliyekuwa waziri wa michezo Hassan Wario kushtakiwa

Mkurugenzi wa mashtaka ya Umma Noordin Hajji ameamuru kutiwa nguvuni na kushtakiwa kwa aliyekuwa Waziri wa Michezo Hassan Wario, aliyekuwa katibu wa wizara Richard Ekai na aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya kimataifa ya michezo ya Olimpiki Kipchoge Keino miongoni mwa wengine.

Hatua hiyo ni kufuatia madai ya ufujaji wa mamilioni ya pesa wakati wa michezo ya Olympiki ya mwaka 2016 iliyofanyika huko Rio nchini Brazil.

Show More

Related Articles