K24 TvSwahili

Kenyatta awataka wanasiasa kuangazia maendeleo badala ya siasa

Naibu rais William Ruto amesesisitiza hana muda wa kutofautiana kuhusu marekebisho ya katiba akisema kuwa wanaoendeleza mdahalo wa kura ya maamuzi wanafaa kuweka bayana vipengee wanavyotaka vifanyiwe marekebisho.
Ruto anasema marekebisho haya hayafai kuwanufaisha wanaosaka viti vya kisiasa huku baadhi ya viongozi wakiitaka tume ya uchaguzi kufanyiwa marekebisho kabla ya kura hiyo ya maamuzi.

Show More

Related Articles