K24 TvSwahili

Gavana Obado kusalia rumande

Mahakama kuu imeagiza kuwa gavana wa Migori Okoth Obado atazidi kuzuiliwa katika gereza la eneo la viwandani, hadi tarehe 24 mwezi huu, ambapo kesi dhidi yake na wengine wawili itasikizwa na kuamuliwa iwapo ataachiliwa kwa dhamana.
Obado na Michael Oyamo pamoja na Caspal Obiero wanahusishwa na mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu Sharon Otieno aliyeuawa kinyama akiwa mja mzito.

Show More

Related Articles