HabariSwahili

Dadake marehemu Kamaru afichua waliyojadili na Rais jana

Catherine Muthoni, dadake mwanamuziki marehemu Joseph Kamaru ambaye alimuacha rais Uhuru Kenyatta akiangua kicheko hapo jana katika mazishi ya kamaru, amefichulia K24 Wikendi, kile kilichojiri  katika mazungumzo yao na rais, na kuwaacha  waombolezaji na wakenya kwa jumla kwa mshangao, kuhusu alichomnong’onezea rais.

Show More

Related Articles