HabariPilipili FmPilipili FM News

Zoezi La Kutambua Miili Ya Watu Walioangamia Katika Ajali Yangoa Nanga

Familia za watu 56 waliopoteza maisha yao kufuatia ajali ya basi huko Kericho siku ya jumatano wanaendelea na zoezi la kuitambua miili ya wapendwa wao katika chumba cha maiti katika hospitali ya Kakamega.

Jumla ya miili 51 ilihamishwa kutoka hifadhi za hospitali ya Kericho hadi Kakamega hapo jana ili kuwa karibu na familia zao.

Hata hivyo bado hospitali kuu ya Kakamega haijathibitisha ni miili mingapi imeweza kutambuliwa hadi kufikia sasa

Show More

Related Articles