HabariMilele FmSwahili

Mamake marehemu Ben Oluoch Okello afariki usiku wa kuamkia leo Migori

Familia ya aliyekuwa seneta wa Migori marehemu Ben Oluoch Okello inaomboleza kifo cha mamake marehemu. Chama cha ODM kimedhibitisha kuwa  Mama Teodora Ayieko amefariki usiku wa kuamkia leo akipokea matibabu katika hospitali ya St. Joseph Omboo kaunti ya Migori.  Kifo cha Mama Teodora kimetokea miezi minne baada ya marehemu seneta Oluoch kufariki kutokana na saratani hapa jijini Nairobi

Show More

Related Articles