HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta atarajiwa kuzuru Meru leo

Huku rais Uhuru Kenyatta akitarajiwa kuzuru mjini wa Meru hii leo wakulima na wanabiashara wa Miraa wanamsihi kutegua kitendawili kinachohusiana na shilingi bilioni zilizotengewa ustawi wa mmea huo na serikali yake. Wakaazi hao kadhalika wamedai kukanganywa na kauli za waziri Mwangi Kiunjuri na gavana Kiraitu Murungi kuhusiana na matumizi ya fedha hizo. Wanasema licha ya serikali kutoa fedha hizo hawajanufaika nazo.

Show More

Related Articles