HabariSwahili

Mshukiwa Brian Kassaine aachiliwa kufuatia ombi la wapelelezi

Brian Kassaine mmoja wa washukiwa wa mauaji ya Monica Kimani sasa yuko huru baada ya mahakama ya kiambu Kuamuru aachiliwe kwa ukosefu wa ushahidi.
Hata hivyo, mahakama hiyo imemtaka Kassaine kupiga ripoti katika makao makuu ya upelelezi wa jinai “DCI” kila siku ya Alhamisi kwa kipindi cha miezi miwili ijayo huku uchunguzi ukiendelea.
Mwanahabari wetu mpekuzi Franklin Wallah amekuwa akifuatilia taarifa hiyo.

Show More

Related Articles