HabariSwahili

Miili ya abiria 33 kati ya 56 ya waliofariki imetambuliwa

Miili 33 kati ya 56 ya walioangamia katika  ajali ya barabarani eneo la Fort Tenan kaunti ya Kericho imetambuliwa kufikia sasa.
Aidha manusura  wa ajali hiyo wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya Kericho.

Show More

Related Articles