HabariSwahili

Ulimwengu waadhimisha siku ya kimataifa kwa mtoto wa kike

Huku ulimwengu ukisheherekea siku ya kimataifa kwa mtoto wa kike, nayo dhamira ya mwaka huu ikiwa kuandaa nafasi na mazingira salama kwa watoto wa kike  kustawi kielimu na kitaalamu.
Wasichana katika jamii za borana na rendile kwenye kaunti ya marsabit wamesalia nyuma kimasomo kutokana na tamaduni ya kuozwa mapema wakiwa wachanga.
Nancy Onyancha anatusimulia mahangaiko ya binti wadogo wanaokosa kupata haki baada ya kutelekezwa na waume zao waliowaoa wakiwa wachanga katika kaunti ya Marsabit.

Show More

Related Articles