HabariMilele FmSwahili

Raila asema ushirikiano wake na ule wa rais Kenyatta utaendelea

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga anasema ushirikiano wake na ule wa rais Uhuru Kenyatta utaendelea.Akiongea katika maizishi ya aliyekuwa mwanamziki maarufu wa nyimbo za Kikuyu Joseph Kamaru huko Muranga, amesema juhudi za kuunganisha wakenya lazima iungwe mkono na wakenya wote.Siasa za maji zimeibuka kwenye mazishi ya mwendazake Kamaru, baadhi ya viongozi ambao wamezungumza kwenye hafla hiyo wakiongozwa na Mbunge wa Kigumo Ruth Mwaniki naye ameahidi viongozi kutoka kaunti hiyo wataketi pamoja kujadili suala tata la maji.

Show More

Related Articles