HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta, Ruto na Odinga waongoza waombolezaji katika mazishi ya Joseph Kamaru

Hafla ya mazishi ya marehemu mwanamziki mkongwe Joseph Kamaru inaendelea wakati huu katika uwanja wa Muthithi kaunti ya Murang’a. Rais Uhuru Kenyatta naibu wake William Ruto,  kinara wa ODM Raila Odinga na gavana wa Muranga Mwangi Wa Iria wanawaongoza waombolezaji wa tabaka mbali mbali katika ibada ya misa ya wafu kwa ajili ya mwendazake. Kamaru alifariki wiki iliyopita akipokea matibabu katika hospitali ya MP  Shah hapa jijini Nairobi.

Show More

Related Articles