HabariPilipili FmPilipili FM News

Wanafunzi Wa Shule Ya Msingi Wajitosa Katika Uvutaji Bangi.

Idara ya usalama kaunti ya Kwale imeanzisha  uchunguzi dhidi ya madai  ya kuwepo kwa baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi eneo la Matuga wanaojihusisha na uvutaji wa bangi wakiwa shuleni huku walimu wakilaumiwa  kwa kulifumbia macho swala hilo.

Mwenyekiti wa  kamati ya  usalama eneo la Matuga Mwanakombo Jarumani anasema baadhi ya wanafunzi  wanaojihusisha  na uvutaji  wa bangi wamezindua mbinu mpya ya kubeba  bangi hio katika mikebe ya blueband wakihofia  kutambulika  kisha kwenda nayo  moja kwa moja  hadi madarasani  na kuivuta pasi na shaka.

 

 

 

Show More

Related Articles