HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta atarajiwa kuhudhuria mazishi ya Joseph Kamaru Murang’a leo

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuhudhuria maizishi ya aliyekuwa mwanamziki maarufu wa nyimbo za Kikuyu Joseph Kamaru huko Muranga leo. Hafla hiyo itafanyika nyumbani kwa Kamaru Kagarati eneo la Kigumo. Kaunti kamishna John Elungata anasema rais huenda akawa miongoni mwa waombolezaji wengine watakaojumuika na familia ya mwendazake kumpa buriani mzee Kamaru. Kamaru alifariki aktibiwa hospitali ya MP Shah hapa Nairobi akiwa na miaka 79.

Show More

Related Articles