HabariSwahili

Watu 56 wafariki kufuatia ajali ya basi Fort Tenan,Kericho

Watu 56 wamethibishishwa kufariki katika ajali iliyotokea katika eneo la Fort Tenan huko Kericho saa kumi na moja alfajiri.
Ajali hiyo ilitokea wakati ambapo basi  moja kwa jina Homeboyz lililokuwa likitoka Nairobi kueleka Kakamega, lilipopoteza mwelekeo kwenye mteremko na kubingiria  na kusababisha vifo vya angalau watu 48 papo hapo na wengine 7 kuaga hospitalini .
Mmiliki wa basi hilo Cleophas Shimanyula amekamatwa Kakamage, anavyoarifu Frankline Macharia .

Show More

Related Articles