HabariMilele FmSwahili

Moi aeleza kutiwa moyo na jumbe za heri njema ambazo amepokea siku hii

Huku wakenya wakijumuika pamoja kuadhimisha siku ya Moi, rais mstaafu Daniel Moi ambaye siku hii inatumiwa kumkumbuka ameisherehekea nyumbani kwake Kabarak huko Nakuru.Moi katika ujumbe wake, ameelezea kutiwa moyo na jumbe za heri njema ambazo amepokea siku hii.

Show More

Related Articles