HabariMilele FmSwahili

Idadi ya waliofariki kufuatia ajali ya Fort Ternan yafikia 52

Waliofariki kufuatia ajali ya Fort Ternan huko Kericho imefikia watu 52.Ni baada ya majeruhi wengine wawili kufariki.Majeruhi wengine 14 wanaendelea kutibiwa wakati familia za waliongamia zikiendelea kutambua miili ya wapendwa.Haya yakiarifiwa polisi wameomba wananchi kusaidia kukamatwa wamiliki wa basi la Homeboys lililohusika kwenye ajali hiyo.

Show More

Related Articles