HabariMilele FmSwahili

Aliyekuwa mbunge wa Mugirango/Borabu Kaskazini Nyarangi Moturi afariki.

Aliyekuwa waziri msaidizi na mbunge wa Mugirango/Borabu Kaskazini Nyarangi Moturi amefariki. mwanasiasa huyo mkongwe aliyehudumu wakati wa utawala wa ilioyokuwa serikali ya KANU miaka ya 80 na aliyefahamika pia kama Esirori Nyamaguta amefariki mapema leo wakati alipokuwa akikimbizwa kupokea matibabu hospitalini hapa jijini Nairobi.

Show More

Related Articles