HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta awataadharisha madereva dhidi ya kuendesha magari kiholela

Rais Uhuru Kenyatta amewataadharisha madereva dhidi ya kuendesha magari kiholela. Rais amesema waendesha magari wote wanapaswa kuwa waangalifu ili kuepusha ajali na vifo bara barani. Kadhalika amewaagiza polisi kuendesha uchunguzi upesi kubaini chanzo cha ajali na kuwachukulia hatua mwafaka watakaopatikana na hatia ya kukiuka sheria.

Show More

Related Articles