HabariMilele FmSwahili

Basi lililohusika katika ajali ya Fort Tenan lilikuwa na abiria zaidi ya 70

Basi lililohusika katika ajali mbaya ya bara barani huko Fort Tenan kaunti ya Kericho lililuka limejaa kupita kiasi. Baadhi ya wahanga wa ajali hiyo wanaouguza majeraha katika hospitali ya Fort Tenan basi hilo lilikuwa na abiria 70. Aidha dereva wa basi hilo alikuwa akiendesha basi hilo kwa kasi na kiholela. Wanasema juhudi zao za kumtaka dereva kupunguza mwendo zilipuuzwa.

Show More

Related Articles