HabariMilele FmSwahili

Watu 50 wafariki kufuatia ajali mbaya kwenye barabara ya Londiani-Muhoroni

Idadi ya watu walioangamia kufuatia ajali mbaya katika eneo la Fort Ternan kwenye bara bara ya Londiani-Muhuroni kaunti ya Kericho imetimia 50.  Kulingana na  mkuu wa trafiki eneo la Rift Valley Zero Arome basi hilo lililokuwa likitoka Nairobi kuelekea Kakamega lilikuiwa na abiria 52. Aidha walioshuhudia wanasema watoto tisa ni miongoni mwa waliofariki.

Show More

Related Articles