HabariMilele FmSwahili

ELOG yapinga wito wa kura ya maoni kuhusu mageuzi ya katiba

Chama cha waangalizi wa uchaguzi ELOG kimepinga wito wa kura ya maoni kuhusu mageuzi ya katiba. ELOG kimetaka muda zaidi kutolewa kwa ajili ya utekelezaji katiba ya sasa kikamilifu. ELOG pia linadai kuwa tume ya  uchaguzi IEBC haiko tayari kuandaa kura  hiyo kutokana na mgogoro wa uongozi na uhaba wa makamishna.

Show More

Related Articles