HabariMilele FmSwahili

Kaunti ya Nairobi yapiga marufuku hafla za kufuzu kwa wanafunzi katika shule za chekechea.

Serikali ya kaunti ya Nairobi imepiga marufuku hafla za kufuzu kwa wanafunzi katika shule za chekechea. Waziri wa elimu kaunti ya Nairobi Janet Ouko amesema shule hizo zimekuwa zikitumia hafla hiyo kuwalaghai wazazi fedha zao. Anasema uchunguzi wao umebaini kuwa wazazi wamekuwa wakiitishwa kati ya shilingi 1000 na 1500 kwa kila mwanafunzi kugharamia  hafla hizo kinyume na sheria

Show More

Related Articles