HabariMilele FmSwahili

Ayacko anyakua ushindi katika uchaguzi mdogo wa useneta Migori

Dkt Ochilo Ayacko amenyakuwa ushindi katika uchaguzi mdogo wa useneta kaunti ya Migori. Ochilo ametanagzwa mshindi kwa kura 85,234 huku mpinzani wake wa karibu akipata kura 60, 555. Akizungumza baada ya kutangazwa mshindi Ayacko ameapa kushirikiana na wanasiasa wote kaunti hiyo kuwatumikia watu wa Migori bila mapendeleo.Ni ushindi ambao pia umepokelewa vyema na wanasiasa wa ODM wakiongozwa na

Show More

Related Articles