HabariMilele FmSwahili

Serikali yatangaza tarehe 10 kama siku kuu ya kuadhimisha sherehe za Moi Day

Serikali imetangaza jumatano wiki hii ya tarehe 10 kama siku kuu ya kuadhimisha sherehe za Moi Day.Katika taarifa,waziri wa usalama Dr.Fred Matiang’i anasema uamuzi huo umefuatia agizo la jaji wa mahakama kuu George Odunga.Hata hivyo,Matiangi anasema hakuna mipangilio maalum iliowekwa na serikali kufanikisha sherehe hizi .

Show More

Related Articles