HabariMilele FmSwahili

Ruto atarajiwa kuzindua miradi kadhaa ya maendeleo Machakos leo

Naibu wa rais William Ruto amekitaka kambi kaunti ya Machakos ambako anatarajiwa kuzindua miradi kadhaa ya maendeleo.Ruto atazindua mradi wa  ujenzi wa barabara ya Kimutwa  kuelekea  Makaveti  hadi eneo la Mutisya wa Ngamali.Kamishna wa kaunti ya Machakos  Abdulahi Galgalo  anasema  naibu  rais atahutubia mkutano wa hadhara katika  soko la  Kimutwa.

Show More

Related Articles