HabariMilele FmSwahili

Eddy Oketch alalamikia visa vya kuhongwa wapiga kura

Muaniaji useneta katika kaunti ya Migori Eddy Oketch amelalamikia kile anadai kuwa kukithiri kwa visa vya kuhongwa wapiga kura.Akizungumza baada ya kuzuru vituo kadhaa vya upigaji kura Oketch amemtuhumu mpinzani wake Ochilo Ayacko kwa kuwasafirisha watu kutoka nje ya kaunti hiyo kupiga kura. Kadhalika ameitaka tume ya IEBC kile amekitaja kuwa ODM kuendesha kampeni wakati wa uchaguzi na wapiga kura kutishwa katika baadhi ya vituo.

Show More

Related Articles