HabariMilele FmSwahili

Migori leo yaamua

Uchaguzi wa useneta kaunti ya Migori unaendelea huku idadi ndogo ya wapiga kura wakiripotiwa kujitokeza kwenye vituo vingi. Ni zoezi linaloendelea bila visa vyovyote vya utovu wa usalama kuripotiwa. katika baadhi ya vituo wapiga kura wamelalamikia zoezi hilo kuendeshwa kwa mwendo wa pole.Ni hali ambayo pia imedhibitishwa na mbunge wa Suna Magharibi  Francis Masare akiwataka wenyeji kujitokeza kwa wingi.

Show More

Related Articles