K24 TvNEWSSwahiliVideos

TALANTA SI NDUMBA: Mhubiri Victor Muteru ana miaka 8 na anahubiri Juja

Mtoto mwenye umri wa miaka 8 amewashangaza wengi katika eneo la Juja kwa mahubiri yake ya kina na ustadi wake kwa kuelewa Bibilia.

Victor Muteru, anaamini  kuwa ana kipawa cha kuhubiri, alichokigundua akiwa na umri wa miaka 5 hivi na tangu hapo hajaangalia nyuma, amejizatiti kuvuna roho za wanadamu na kumsihi maulana kufuta majina yao kwenye kitabu cha mauti na kuziandika kwenye kitabu cha uhai. Yeye pia ni mwanamuziki na anatumia mziki wake kuteka nyoyo za watoto wenzake.

Show More

Related Articles