K24 TvNEWSSwahiliVideos

JINAMIZI BARABARANI: Watu 5 waangamia katika ajali Turkana na Nakuru

Watu watatu wameripotiwa kufariki katika ajali mbaya barabarani eneo la Kamatara katika barabara kuu ya Kitale-Lodwar iliyotokea baada ya malori mawili kugongana.

Ajali hiyo ilitokea baada ya dereva aliyekuwa akiendesha gari hilo kuelekea Totunyang kaunti ya Turkana kupoteza mwelekeo na breki zilipofeli na kugongana ana kwa ana na gari la pili na hatimaye kutumbukia mtaroni.

Show More

Related Articles