K24 TvNEWSSwahiliVideos

MASAIBU YA WAKONGWE: Licha ya masurufu ya kila mwezi, changamoto bado zipo

Wazee wengi wa humu nchini wanalalamikia kutelekezwa kimaslahi kuhusiana na hali duni wanazozipitia huku wakiilaumu vikali serikali kwa kutowashughulikia ipasavyo.

Hali hii imewalazimu wazee wengi kujipata pabaya na hatimaye kuishia kwenye nyumba za wazee na kutengwa na jamii.

Show More

Related Articles