HabariMilele FmSwahili

Raia 5 wa Uchina wakamatwa Lavington kwa tuhuma za tishio kwa usalama wa taifa

Raia watano wa Uchina wamekamatwa mtaani Lavington hapa jijini Nairobi kwa tuhuma za kuwa tishio kwa usalama wa taifa.Idara ya uhamiaji imedhibitisha kupitia ukurasa wake katika mtandao wa Twitter kuwa washukiwa wamepatikana na vifaa vinavyoweza kutumika kutatiza usalama. Hata hivypo idara hiyo haijatoa taarifa zaidi kuwahusu wachina hao.

Show More

Related Articles