HabariMilele FmSwahili

Melania Trump atarajiwa kufanya mazungumzo na Margaret Kenyatta

Melania Trump mkewe rais wa Marekani Donald Trump yuko nchni ambako anatarajiwa kufanya mazungumzo na mama taifa Bi Margaret Kenyatta.Awali alizuru hifadhi ya David Shedrick ambako aliwatizama ndovu na baadaye kuelekea katika makao makuu ya umoja wa mataifa eneo la Gigiri hapa jijini.

Show More

Related Articles