HabariMilele FmSwahili

Wamiliki wa shule za kibinafsi waridhishwa na mikakati ya kiusalama kabla ya mtihani

Wakuu wa  shule za kibinfasi wamepongeza mikakati iliyowekwa na wizara ya elimu pamoja na ya usalama wa ndani  kuimarisha usalama katika shule zilizoko maeneo ambayo  yameshuhudia mapigano ya  kikabila. Wakingozwa na mwenyekiti wao Peter Ndoro  wamiliki hao pia wamewahakikishia  watahiniwa na wazazi wao kuwa wazazi na mitihani ya KCPE na KCSE itaendeshwa katika mazingira ambayo hayatahujumu matokeo ya mitihani hiyo.

Show More

Related Articles