HabariMilele FmSwahili

Gavana Obado aitaka mahakama kuu kubatili uamuzi wa kumzuia rumande

Gavana wa Migori Okoth Obado amewasilisha kesi katika mahakama kuu akiitaka kubatili uamuzi wa kumzua rumande. Gavana Obado ameimbia mahakama kuwa hali yake ya kiafya imeendelea kudhoofika kutokana na kuzuiliwa rumande. Gavana huyo anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya Sharon Otieno mapema jana alifanyiwa uchunguzi wa kimatibabu katika hospitali ya kenyatta alikokimbizwa baada ya kuugua.

Show More

Related Articles