HabariMilele FmSwahili

Chebhukati atetea uhalali wa tume yake licha ya upungufu wa makamishna

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi IEBC Wafula Chebhukati kwa mara nyingine ametetea uhalali wa tume yake licha ya upungufu wa makamishna. Chebhukati amewasuta wanaoshinikiza IEBC kuvunjiliwa mbali akishikilia tume hiyo inatekeleza majukumu muhimu kwa mujibu wa taifa. Kadhalika amesema litahitajika kuandaa kura ya maoni kuamua hatma ya IEBC.

Show More

Related Articles