HabariPilipili FmPilipili FM News

Kilio Cha Wavuvi Lamu.

Wavuvi kaunti ya Lamu wanakabiliwa na changamoto za kimaisha kutokana na vifaa duni wanavyotumia kuvulia samaki sawia na ukosefu wa mahali pa kuhifadhia samaki baada ya kuvua.

Mkereketwa wa maswala ya uvuvi na  mazingira Lamu Mohammed Athman sasa ameitaka serikali ya kaunti hiyo kuja na mbini mwafaka za kuvulia samaki  ikizingatiwa kuwa bahari ya Lamu ina uwezo mkubwa wa kutoa samaki kwa wingi.

Show More

Related Articles